Rais wa Burkina Faso aliyeng’olewa madarakani yupo salama, chanzo cha chama kimesema.
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.