Baada ya kushinda AFCON, Senegal yazindua uwanja wa michezo wa hadhi ya kimataifa
Uwanja huo umepewa jina la rais wa zamani Abdoulaye Wade, utakuwa ndio uwanja pekee nchini Senegal ulioidhinishwa kwa soka ya kimataifa.

kuna ndugu kutoka Afrika wanaocheza soka katika mataifa tofauti barani Afrika na kimataifa.