Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso aapishwa kuwa rais
Paul-Henri Sandaogo Damiba alitawazwa kuwa rais siku ya Jumatano, zaidi ya wiki tatu tu baada ya kuongoza mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Roch Marc Christian Kabore.
Paul-Henri Sandaogo Damiba alitawazwa kuwa rais siku ya Jumatano, zaidi ya wiki tatu tu baada ya kuongoza mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Roch Marc Christian Kabore.
Guinea-Bissau ni taifa ambalo limetikiswa na machafuko ya mara kwa mara, ikiwa imekumbwa na mapinduzi manne ya kijeshi tangu uhuru kutoka kwa Ureno mwaka 1974
On Tuesday, heavily armed men attacked government buildings in the capital Bissau.
Burkina Faso imekuwa mwanachama wa tatu wa Jumuiya ya ECOWAS kukumbwa na mapinduzi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita
ECOWAS last week suspended Burkina Faso over the latest coup.
The junta has dissolved the government and parliament and suspended the constitution.
In the past 18 months, the nation ECOWAS has suspended two other members, Guinea and Mali.
Three of ECOWAS’ 15 members have now experienced military coups in less than 18 months.
Burkina Faso inaungana na nchi nyingine mbili za ECOWAS — Mali na Guinea — ambapo kumekuwa na mapinduzi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea