Felix Tshisekedi
-

Kenya: East Africa leaders agree regional force for DR Congo
East African leaders agreed Monday to establish a regional force to try to end conflict.
-

DR Congo: Ubelgiji imerudisha jino la Patrice Lumumba kwa familia yake
Mkosoaji mkali wa utawala wa kikatili wa Ubelgiji, Lumumba alikua waziri mkuu wa kwanza wa nchi yake baada ya DR Congo kupata uhuru wake mwaka 1960.
-

DR Congo yaishutumu Rwanda kwa shambulio la waasi
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imelaumu kuzuka upya kwa ghasia za hivi karibuni za M23 kwa nchi jirani ya Rwanda, na kusababisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili kudorora.
-

Takriban watu 20 wameuawa katika mauaji mapya DR Congo
Takriban watu 20 wameuawa katika mauaji mapya katika jimbo la Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
-

DR Congo: Mvutano waongezeka kabla ya uchaguzi wa rais
Uchaguzi wa 2018 ulikuwa na makabidhiano ya kwanza ya amani ya mamlaka tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka kwa Ubelgiji mwaka 1960.
-

Raia 14 wauawa katika shambulizi mashariki mwa DR Congo
CODECO — jina la Ushirika wa Maendeleo ya Congo — ni dhehebu la kisiasa-kidini ambalo linadai kuwakilisha maslahi ya kabila la Lendu.
-

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yawafunga wasanii wawili kwa kumkosoa rais
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya kijeshi katika gereza kuu la Goma
-

Nyimbo zilizomshambulia Rais Felix Tshisekedi zapigwa marufuku DR Congo
Maafisa wa udhibiti wa muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) walikuwa wamepiga marufuku nyimbo mbili zinazomshambulia Rais Felix Tshisekedi. Kufikia Jumatano jioni maafisa wa udhibiti wa muziki walikuwa wameondoa marufuku kwa wimbo mmoja “Nini…
-

Rais wa zamani wa DR Congo afunguliwa mashtaka ICC
Rais wa zamani wa DR Congo afunguliwa mashtaka ICC







