DR Congo: Askari watatu wa kulinda amani wauawa wakati wa maandamano ya kupinga Umoja wa Mataifa
Hasira imechochewa na dhana kwamba MONUSCO, ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), unashindwa kufanya vya kutosha kukomesha mashambulizi ya makundi yenye silaha.