Desmond Tutu, Prince Philip na DMX kati ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021
Kuanzia kwa Mwanamfalme Philip wa Uingereza hadi mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Desmond Tutu, hawa ni baadhi ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021.
Kuanzia kwa Mwanamfalme Philip wa Uingereza hadi mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Desmond Tutu, hawa ni baadhi ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021.
Kesi kuhusu mauji ya Thomas Sankara ilianza Oktoba 11 2021, watuhumiwa 12 kati ya 14 wa mauji walikuwa mahakamani Jumatatu ikiwemo jenerali Gilbert Diendere aliyekuwa mkuu wa jeshi wakati wa mapinduzi ya 1987.
Mahamat Idriss Deby, kiongozi wa jeshi la serikali ya Chad, ametaja wabunge 93 wa bunge la mpito miezi mitano baada ya kujitangaza kuwa kiongozi wa nchi.