Rais Ruto Na Raila Wajibizana Kisa Eti Kufunguliwa Kwa Sava Za Tume Ya Uchaguzi.
Raila amezidi kusisitiza sava za tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) zifunguliwe,Ila Rais Ruto naye amemjibu akisema kuwa sava zipo wazi kwa kila mmoja kuangalia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2022.