Amerika yaiwekea vikwazo Urusi kwa ‘kuanza’ kuivamia Ukraine
Baraza la juu la Urusi, lilimpa Putin idhini kwa kauli moja ya kupeleka ‘walinda amani’ katika mikoa miwili iliyojitenga ya Donetsk na Lugansk