Tanzania: Freeman Mbowe aachiwa huru na mahakama
Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alikamatwa Julai Mosi pamoja na baadhi ya maofisa wengine waandamizi wa chama hicho saa chache kabla ya mkutano wa hadhara wa kudai mageuzi ya katiba.