EU yaahidi kutoa euro milioni 600 kwa Afrika, kukabiliana na uhaba wa chakula
Umoja wa Ulaya Jumanne uliahidi kuongeza euro milioni 600 kusaidia mataifa yaliyo hatarini kukabiliana na mzozo wa usalama wa chakula uliozidishwa na vita vya Urusi dhidi ya Ukraine.