Marais Waliofariki kwenye Ajali za Ndege
Zaidi ya marais 10 wamefariki kutokana na ajali za ndege
Zaidi ya marais 10 wamefariki kutokana na ajali za ndege
Kesi kuhusu mauji ya Thomas Sankara ilianza Oktoba 11 2021, watuhumiwa 12 kati ya 14 wa mauji walikuwa mahakamani Jumatatu ikiwemo jenerali Gilbert Diendere aliyekuwa mkuu wa jeshi wakati wa mapinduzi ya 1987.
Theoneste Bagosora, Kanali wa zamani wa jeshi la Rwanda aliyefahamika kwa kuchangia na kupanga mauaji ya kimbari ya 1994 ameaga dunia.