Raila: Rais Samia Suluhu alikuja Kenya ili kupatanisha mimi na Ruto lakini yote yaliambulia patupu!
Raila aliviambia vyombo vya habari kuwa Rais Ruto, aliyeanzisha mkutano huo, aliwafanya wasubiri na hakuonekana katika mkutano huo licha ya juhudi za Mkuu wa Nchi ya Tanzania, Samia Suluhu.