Mahakama ya Kenya imeondoa zuio la nyongeza ya ushuru hadi uamuzi wa mwisho
Serikali inasema ushuru huo utasaidia kuunda nafasi za kazi na kupunguza ukopaji wa umma
Serikali inasema ushuru huo utasaidia kuunda nafasi za kazi na kupunguza ukopaji wa umma
Twenty people have died in the clashes, official figures say. The opposition says the true death toll is at least 50.
Ziara ya Ruto inajiri siku chache baada ya rais wa Tanzania kufichua kuwa baadhi ya wawekezaji walipiga kambi katika nchi hiyo jirani kutokana na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Kenya.
Odinga called off demonstrations in April and May after Ruto agreed to dialogue, but the talks broke down, with Azimio organising several rounds of protests this month.
Raila aliviambia vyombo vya habari kuwa Rais Ruto, aliyeanzisha mkutano huo, aliwafanya wasubiri na hakuonekana katika mkutano huo licha ya juhudi za Mkuu wa Nchi ya Tanzania, Samia Suluhu.
Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Madola na vyombo vya habari vimewataka Ruto na Odinga kushiriki katika mazungumzo.
Mpango huu wa dharura ulifichuliwa kwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kama njia ya kufadhili bajeti ya trilioni Ksh3.68 ikiwa hatua za sasa za kuongeza ushuru zitakabiliwa na vikwazo mahakamani.
Odinga alisitisha maandamano mwezi Aprili na Mei baada ya Rais William Ruto kukubali mazungumzo, lakini mazungumzo hayo yalivunjika.
Ms Karisa, who jetted back from an official trip to Italy, was stabbed to death at her home in Mnarani area of Kilifi town following a quarrel over an alleged loss of an unknown amount of money.
The organization has called for an immediate stop to violent policing and criminalizing of protests by the state