Rais William Ruto Amthubutu Raila Kuandaa Maandamano
Ruto alikuwa anamjibu odinga ambaye aliipa serikali ya Rais Ruto makataa ya siku 14 kupunguza gharama ya maisha la sivyo ataandaa maandamano kote nchini Kenya.
Ruto alikuwa anamjibu odinga ambaye aliipa serikali ya Rais Ruto makataa ya siku 14 kupunguza gharama ya maisha la sivyo ataandaa maandamano kote nchini Kenya.
Zaidi ya wanawake 70 wanaofanya kazi katika mashamba ya chai walifichua kwamba walikuwa wamenyanyaswa kingono na wasimamizi wao kwa miaka mingi
Odinga ambaye siku ya Jumatano Februari 22 aliandaa mkutano wa maombi katika bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi alisema kuwa wakenya wamechoka na serikali ya Kenya Kwanza kutotimiza ahadi walizotoa katika kipindi cha kampeni.
Ractliffe mwenye umri wa miaka 70 na kampuni yake tayari wamewasilisha ofa ya kutaka kununua asilimia 69 ya kuinunua Man United.
Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine wakipata majeraha.
Rais wa Kenya WIlliam Ruto na naibu rais Rigathi Gachagua Jumanne asubuhi Wameandaa kikao na viongozi kutoka eneo la Nyanza katika ikulu ya Nairobi kufuatia ziara yake ya hivi majuzi katika eneo hilo.
Waziri wa usalama wa ndani nchini kenya Kithure kindiki amemuonya odinga dhidi ya maandamano
Odinga sasa anaitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini kenya IEBC kuondolewa na kisha kubuniwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi
Maafisa watatu wa polisi wa Kenya walihukumiwa kifungo cha kuanzia miaka 24 jela hadi hukumu ya kifo kwa mauaji ya kikatili ya wakili Willie Kimani
Inspekta Jenerali alitupilia mbali madai yoyote kwamba uamuzi huo ulichochewa kisiasa