Kenya: Masuala tisa yatakayoamuliwa katika kesi ya urais
Jaji mkuu nchini Kenya Martha Koome aorodhesha mambo tisa ambayo mahakama ya juu zaidi itatoa uamuzi kuyahusu katika kesi ya urais.
Jaji mkuu nchini Kenya Martha Koome aorodhesha mambo tisa ambayo mahakama ya juu zaidi itatoa uamuzi kuyahusu katika kesi ya urais.
Wajumbe wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika wawasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais
Baraza la kitaifa la usalama Kenya limepinga kujaribu kuitilafiana na matokeo ya urais.
The number of female governors elected in 2022 more than doubled compared to 2017
The Supreme Court of Kenya will once again make a decision on the credibility of this year’s presidential election following presidential results dispute
Kiongozi wa Azimio la umoja raila Odinga amewataka wakenya kudumisha amani wakati akiendelea kutatafuta haki mahakamani.
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
Seneta wa Marekani Chris Coons amekutana na kufanya mazungumzo na rais Uhuru Kenyatta.
Wakenya wanasubiri kuona jinsi mahakama ya upeo itashughulikia kesi ya urais iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi mahamani,
Katika miaka 30 ya utawala wa vyama vingi vya siasa, uchaguzi katika mamlaka ya Afrika Mashariki mara nyingi umekuwa na matokeo yenye utata na kusababisha ghasia mbaya, huku wapinzani wakishutumiana kwa udanganyifu na wizi wa kura.