Mgonjwa akatwa mguu usiostahili kukatwa kwenye upasuaji
Daktari wa upasuaji nchini Austria ambaye alishtakiwa kwa kukata mguu ambao haukustahili kukatwa wa mgonjwa sasa anakabiliwa na mashtaka.