Wachimbaji wadogo kutengewa maeneo maalum Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili yao na kutoa huduma za tafiti kwa gharama nafuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili yao na kutoa huduma za tafiti kwa gharama nafuu.
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini Tanzania(DPP), Sylvester Mwakitalu leo amemuomdolea mashitaka ya uchochezi Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema, Hashimu Juma, yaliyokuwa yanamkabili ya uchochezi kupitia kifungu cha 90 (1), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam
Asisitiza viongozi wa dini na machifu kuirejesha jamii karibu na Mungu kuondoa imani potofu
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya shilingi bilioni 60.24 kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametengua uteuzi wa Kamisha Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali na kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Usajili, Ukaguzi na Upelelezi wa Walipa Kodi wa mamlaka hiyo, Hashim Kombo Haji, ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa shilingi bilioni 9.65.