Serikali za Afrika zang’ang’ana kuwasaidia raia wake nchini Ukraine baada ya madai ya kudhulumiwa
Waafrika nchini Ukraine, wengi wao wakiwa wanafunzi, ni miongoni mwa mamia ya maelfu ya watu wanaojaribu kukimbilia Poland na mataifa mengine jirani.
Waafrika nchini Ukraine, wengi wao wakiwa wanafunzi, ni miongoni mwa mamia ya maelfu ya watu wanaojaribu kukimbilia Poland na mataifa mengine jirani.
Mwenyekiti wa sasa wa muungano huo, Rais wa Senegal Macky Sall amesema ‘ana wasiwasi mkubwa’ na uvamizi huo.
Uwanja huo umepewa jina la rais wa zamani Abdoulaye Wade, utakuwa ndio uwanja pekee nchini Senegal ulioidhinishwa kwa soka ya kimataifa.