Viongozi wa ECOWAS waiondolea Mali vikwazo
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.
Mali iliwekewa vikwazo baada ya kuchelewesha uchaguzi uliopangwa kufanyika Febuari 2022