Kenya: Jaji Mkuu Martha Koome amtaka Rais Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka katiba
Jaji Mkuu Martha Koome anamtaka Rais Uhuru Kenyatta ang’olewe madarakani kwa kukosa kuwateua majaji sita waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC).
Jaji Mkuu Martha Koome anamtaka Rais Uhuru Kenyatta ang’olewe madarakani kwa kukosa kuwateua majaji sita waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC).
Mahakama ya Upeo nchini Kenya iliamua Alhamisi kwamba pendekezo lenye utata la Rais Uhuru Kenyatta kufanya marekebisho ya katiba si halali
Jopo la majaji saba katika Mahakama ya Juu itafanya uamuzi kuhusu uhalali wa mapendekezo hayo kufuatia kukataliwa kwake na Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa