monkeypox in Europe

  • WHO: Ulaya ‘kitovu’ cha mlipuko wa Monkeypox

    WHO: Ulaya ‘kitovu’ cha mlipuko wa Monkeypox

    Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema Jumatano Ulaya inasalia kuwa kitovu cha mlipuko wa Monkeypox duniani, huku visa zaidi ya 1,500 vikiripotiwa katika eneo hilo.