Mawaziri wapya Kenya waapishwa
Mawaziri wapya Mutahi Kagwe, Lee Kinyanjui na William Kabogo Ijumaa wameapishwa kuanza kazi, saa chache baada ya kuidhinishwa na Bunge…
Mawaziri wapya Mutahi Kagwe, Lee Kinyanjui na William Kabogo Ijumaa wameapishwa kuanza kazi, saa chache baada ya kuidhinishwa na Bunge…
Makubaliano kati ya Kenya na Uingereza kuhusu kuajiri wafanyikazi wa Afya yalitiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mnamo Januari 2021.
Tangazo hilo linakuja wakati viwango vya maambukizi ya UVIKO-19 vikiwa vimepungua hadi asilimia moja au chini zaidi katika mwezi mmoja uliopita, Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alisema.
Kenya’s coronavirus infections rate has crossed the World Health Organisation (WHO) high-risk limit of five percent for the first time since the government lifted the nationwide curfew.
Citizens will be required to show vaccination certificates from December 21 this year.