Marubani wa Kenya Airways waliogoma warejea kazini
Mahakama iliwaamuru kusitisha mgomo wao wa siku kadhaa uliosababisha mamia ya safari za ndege kufutwa na maelfu ya abiria kukwama
Mahakama iliwaamuru kusitisha mgomo wao wa siku kadhaa uliosababisha mamia ya safari za ndege kufutwa na maelfu ya abiria kukwama
Jaji Anna Mwaure siku ya Jumanne aliamuru “marubani wa Kenya Airways kurejelea majukumu yao kama marubani ifikapo saa 12 asubuhi tarehe 9 Novemba 2022 bila masharti”
The meeting was held in in Shamar El Sheikh, Egypt,on the sidelines of the meeting of United Nations Framework on Climate Change (COP-27)
Ike Ekweremadu, 60, anatuhumiwa na mkewe, Beatrice, 56, binti yao, Sonia, 25, na daktari kwa kumleta mwanamume ,21, kutoka Nigeria ili figo yake iondolewe
Grieving Tanzanians paid emotional tribute Monday to 19 people killed when a passenger plane plunged into Lake Victoria in the country’s deadliest air crash in decades
A public holiday will be held to mark the coronation of King Charles III in May, eight months after the death of his mother Queen Elizabeth II
Tanzanian film “Tug of War” is about love and politics during the final years of British colonial Zanzibar
A plane carrying 43 people plunged into Lake Victoria in Tanzania early on Sunday shortly before it was due to land in the city of Bukoba
Moja ya vituo vikuu vya habari nchini humo imesimamishwa kwa miezi 2 kufuatia ukosoaji wa utawala wa kijeshi uliofanywa na mmoja wa waandishi wake wakuu
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ametawala nchi yake kwa miaka 43, amezindua azma yake ya kuwania muhula wa sita