Ghana: Polisi wafyatua vitoza machozi kutawanya maandamano ya kupinga gharama za maisha
Ghna inakabiliwa na mdororo wa kiuchumi uliochochewa na janga la corona na athari za vita vya Urusi nchini Ukraine, limeshuhudia mfumuko wa bei ukiongezeka hadi zaidi ya asilimia 27