Aina mpya ya VVU ‘iliyo hatari sana’ yagunduliwa nchini Uholanzi
Walioambukizwa na kirusi cha VB walikuwa na viwango vya juu vya virusi katika damu mara 3.5 hadi 5.5 kuliko wale walioambukizwa na kirusi kingine