Kirusi kipya cha Corona, Omicron chazua wasiwasi kote duniani
Kiwango cha hatari halisi ya kirusi cha Omicron bado hakijaeleweka,lakini utafiti wa awali unaonyesha kuwa kina uwezo wa kuambukiza mtu mmoja mara kadhaa
Kiwango cha hatari halisi ya kirusi cha Omicron bado hakijaeleweka,lakini utafiti wa awali unaonyesha kuwa kina uwezo wa kuambukiza mtu mmoja mara kadhaa
kirusi hicho kwa jina la kisayansi B.1.1.529, ni kirusi hatari zaidi kuwahi kuonekana kufikia sasa na kina uwezo wa kukwepa kinga.
Kirusi hicho kwa jina la kisayansi B.1.1.529 kimegunduliwa pia nchini Botswana na Hong Kong miongoni mwa wasafiri kutoka Afrika Kusini.