Upinzani nchini Nigeria waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekumbwa na madai ya udanganyifu
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekumbwa na madai ya udanganyifu
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekuwa na madai ya udanganyifu na ghasia
Zaidi ya wajumbe 2,300 wa APC walipiga kura kumchagua mgombea atakayekabiliana na Atiku Abubakar wa chama cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) katika kura ya urais ya Februari 25 2023
Nigeria itakwenda uchaguzini Februari 2023 kumchagua mrithi wa Rais Muhammadu Buhari ambaye ataondoka uongozini baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.