Upinzani nchini Nigeria waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekumbwa na madai ya udanganyifu
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekumbwa na madai ya udanganyifu
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
Ripoti za maafisa wa polisi zinaonyesha Martin Ike alikamtwa nchini Nigeria na maafisa wa kitengo cha polisi wa Interpol na kusafirishwa hadi nchini Kenya
Miili kumi ilipatikana Jumatano baada ya boti iliyokuwa imebeba zaidi ya wanawake 100 na watoto kupasuka kwenye mto kaskazini mwa Nigeria
Mafundisho kwa miaka sita ya kwanza katika shule za msingi yatakuwa katika lugha ya mama
Three migrants who arrived in Spain after enduring an 11-day journey from Nigeria on the rudder of a fuel tanker were returned to the ship Tuesday after receiving medical care, officials said
Ike Ekweremadu, 60, anatuhumiwa na mkewe, Beatrice, 56, binti yao, Sonia, 25, na daktari kwa kumleta mwanamume ,21, kutoka Nigeria ili figo yake iondolewe
The 1.8 tonnes of drugs were stored in 10 travel bags and 13 barrels
He criticized the Kenya Kwanza manifesto which was designed on the basis of caring for the poor
Kukamatwa huko kulifuatia malalamishi ya mwathiriwa aliyedai kuwa alipigwa picha za uchi, huku akitishia kuzichapisha kwenye mitandao ya kijamii ikiwa hatazipa pesa.