Idadi ya vifo kutokana na mapigano ya kikabila Sudan yaongezeka hadi 105
Mapigano yalizuka katika jimbo la kusini ambalo linapakana na Ethiopia na Sudan Kusini mnamo Julai 11 kati ya watu wa makabila ya Berti na Hausa.
Mapigano yalizuka katika jimbo la kusini ambalo linapakana na Ethiopia na Sudan Kusini mnamo Julai 11 kati ya watu wa makabila ya Berti na Hausa.
Sudan imekuwa ikikabiliwa na machafuko yanayozidi kuongezeka tangu Burhan aongoze mapinduzi mnamo Oktoba 25
Darfur, ambayo imekumwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyozuka mwaka 2003, imeshuhudia ongezeko la vita na mauaji tangu Oktoba mwaka jana
Mapigano mapya yaliyozuka Alhamisi yameshuhudia makundi yenye silaha yakipigana katika milima ya Jebel Moon katika jimbo la Darfur Magharibi
Takriban watu 85 wameuawa na mamia kujeruhiwa na vikosi vya usalama wakati wa miezi minne ya maandamano ya kudai utawala wa kiraia na haki
Maandamano yameitikisa nchi hiyo tangu mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan kuongoza unyakuzi wa kijeshi mwezi Oktoba
Sudan, ambayo tayari ilikuwa katika hali mbaya ya mzozo wa kiuchumi kabla ya mapinduzi, imeshuhudia misaada muhimu ya kigeni ikikatwa kama sehemu ya kulaani unyakuzi huo.
Vifo hivyo saba vinafikisha 71 idadi ya waandamanaji waliouawa tangu jeshi lilipochukua madaraka Oktoba 25, likiongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.
Vikosi vya usalama vya Sudan vimewaachia wanahabari wawili wa kituo cha televisheni.
Mwezi Agosti mwaka huu, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, alifanya ziara yake ya kwanza nchini Sudan