Papa Francis Afariki Dunia Akiwa Na Miaka 88
Papa Francis alichaguliwa kuwa Baba Mtakatifu mnamo Machi 13, 2013. Uchaguzi wake ulikuwa wa kihistoria, kwani alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini na wa kwanza kutoka Shirika la Yesu (Jesuit).