Lumumba: Shujaa wa kupinga ukoloni aliyemkasirisha mfalme wa Ubelgiji
Mbele ya Mfalme Baudouin wa Ubelgiji, waziri mkuu huyo mwenye umri wa miaka 34 aliwashutumu watawala hao wa zamani wa kikoloni kwa unyanyasaji wa kibaguzi na kulazimisha “utumwa wa kudhalilisha” kwa watu wa Kongo,