Macron awasili Cameroon katika mkondo wa kwanza wa ziara yake Afrika Magharibi
Macron anatazamiwa kufanya mazungumzo Jumanne asubuhi katika ikulu ya rais na mwenzake Paul Biya, 89, ambaye ametawala Cameroon kwa takriban miaka 40.
Macron anatazamiwa kufanya mazungumzo Jumanne asubuhi katika ikulu ya rais na mwenzake Paul Biya, 89, ambaye ametawala Cameroon kwa takriban miaka 40.
Waziri wa michezo Narcisse Mouelle Kombi alisema Rais wa Cameroon Paul Biya ameamuru shirikisho la soka la kitaifa kumpa kazi mlinzi huyo wa zamani wa Liverpool.