Zimbabwe: Shule zafungwa baada ya walimu 135,000 kusimamishwa kazi.
Wakati wa utawala wa Mugabe, Zimbabwe ilijivunia kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya elimu barani Afrika.