Jumuiya ya Afrika Magharibi yaamua kutoiwekea Burkina Faso vikwazo vipya
Burkina Faso imekuwa mwanachama wa tatu wa Jumuiya ya ECOWAS kukumbwa na mapinduzi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita
Burkina Faso imekuwa mwanachama wa tatu wa Jumuiya ya ECOWAS kukumbwa na mapinduzi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita
ECOWAS last week suspended Burkina Faso over the latest coup.
Asilimia 40 ya wakazi wa Burkinabe wanaishi maisha ya uchochole kulingana na Benki ya Dunia.
In the past 18 months, the nation ECOWAS has suspended two other members, Guinea and Mali.
Three of ECOWAS’ 15 members have now experienced military coups in less than 18 months.
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea
Mamia ya watu walikusanyika katika uwanja wa Nation Square kusheherekea kung’olewa madarakani kwa Rais Kabore
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.