Rais wa Guinea-Bissau avunja bunge
Rais Umaro Sissoco Embalo alivunja bunge la Guinea-Bissau na kusema uchaguzi wa mapema wa bunge utafanyika mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu.

Guinea-Bissau ni taifa ambalo limetikiswa na machafuko ya mara kwa mara, ikiwa imekumbwa na mapinduzi manne ya kijeshi tangu uhuru kutoka kwa Ureno mwaka 1974