Tag: Prince Charles in Rwanda
Mwanamfalme Charles atoa heshima kwa wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda
Viongozi wa mataifa ya Jumuiya ya Madola wanatarajiwa mjini Kigali katika siku zijazo kwa mkutano wa jumuiya hiyo yenye wanachama 54 ya makoloni ya zamani ya Uingereza.