Umuhimu wa Julai 7 katika Afrika Mashariki- Siku ya Saba Saba
Julai 7 bila shaka ni tarehe muhimu na yenye matukio mengi katika historia ya Afrika Mashariki.
Julai 7 bila shaka ni tarehe muhimu na yenye matukio mengi katika historia ya Afrika Mashariki.
Raila emphasized the need for Africans to take control of their continent by improving communication and trade among themselves.
Odinga amesema jambo pekee ambalo si sahihi ni ukatili wa polisi
President William Ruto’s government has endured nine days of demonstrations since March, when his rival Raila Odinga called Kenyans onto the streets over a cost of living crisis.
Serikali inasema ushuru huo utasaidia kuunda nafasi za kazi na kupunguza ukopaji wa umma
Twenty people have died in the clashes, official figures say. The opposition says the true death toll is at least 50.
Raila aliviambia vyombo vya habari kuwa Rais Ruto, aliyeanzisha mkutano huo, aliwafanya wasubiri na hakuonekana katika mkutano huo licha ya juhudi za Mkuu wa Nchi ya Tanzania, Samia Suluhu.
Odinga alitangaza mipango ya kukusanya saini milioni 10 kwa nia ya kumwondoa afisini Rais William Ruto
Raila alisema Rais anafaa kuondoa Mswada wa Fedha wa 2023 kwa sababu Wakenya watateseka iwapo utapitishwa. Tayari Mswada huo upo Bungeni ukisubiri uamuzi wa Wabunge
Raila aliwakashifu viongozi kwa kuongoza kampeni ya kumdhalilisha Uhuru ilhali wanatarajia kupewa heshima mara watakapoondoka afisini.