Rais Samia azungumza na wafanyabiashara nchini Ufaransa

  • Wafaransa wakaribishwa kuja kuwekeza Tanzania

    Wafaransa wakaribishwa kuja kuwekeza Tanzania

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Ufaransa kuja kuwekeza nchini mwake huku akisema serikali ya Tanzania imeboresha mazingira ya kufanya biashara nchini humo.

Search