Jumuiya ya Madola yakuatana kuanzia leo Kigali,Rwanda
Mkutano wa kilele wa viongozi wa Jumuiya ya Madola unafunguliwa Ijumaa nchini Rwanda huku taifa mwenyeji likichunguzwa kuhusu rekodi yake ya haki na makubaliano ya wahamiaji na Uingereza yakitishia kuchanganya mkutano huo.