Zaidi ya wahamiaji 40 wamezama baharini karibu na Sahara Magharibi
Mamlaka ya Morocco ilisimamisha zaidi ya vivuko 63,120 mwaka jana na kufunga mitandao 256 ya magendo.
Mamlaka ya Morocco ilisimamisha zaidi ya vivuko 63,120 mwaka jana na kufunga mitandao 256 ya magendo.
Takriban wahamiaji 44, wakiwemo wanawake na watoto wachanga, walikufa maji wiki hii kwenye pwani ya Morocco walipokuwa wakijaribu kufika Uhispania