Dola milioni 29.3 kutumika kuboresha mchakato wa ukusanyaji data za elimu Tanzania
Mkataba huo umetiwa saini Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, na Balozi wa Sweden nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Marcias.