Tanzania
-

Lissu awataka wanachama kuichangia CHADEMA, kesi ya kikatiba yaendelea Mahakama Kuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuendelea kuchangia chama na Baraza Kuu, wakati akiwasili katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, ambako usikilizwaji…
-

Serikali ya Tanzania yakosoa makala ya BBC kuhusu Tundu Lissu
Serikali ya Tanzania imeikosoa makala iliyochapishwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia kipindi chake cha BBC Africa Eye, ikidai kuwa imewasilisha taarifa zisizo na uwiano kuhusu kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.
-

Bunge la Marekani laidhinisha muswada wa kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania
Kamati ya Mahusiano ya Kigeni yabunge la Marekani imeidhinisha miswada mitano ya sera za mambo ya nje, ikiwemo muswada unaotaka kufanyika kwa tathmini ya kina ya uhusiano kati ya Marekani na Tanzania kufuatia kile wabunge…
-

Tanzania Opposition Aide David Djumbe Found Injured After Alleged Abduction
“They were hitting me on the head and saying, ‘Today is your last day,’” Djumbe said, while showing injuries and swollen hands allegedly caused by the handcuffs.
-

Warioba Questions Secrecy of Judge Chande Report, Claims He Faced Threats From State Officials
Warioba said some of his friends feared he could face abduction or poisoning because of his outspoken views, but maintained that he would continue speaking on issues affecting the country.












