Watu 4,000 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa takwimu hizo huku akielezea kuwa hazifurahishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa takwimu hizo huku akielezea kuwa hazifurahishi
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
Serikali ya Tanzania inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 44.38 kwa mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.0 ya bajeti ya mwaka 2022/2023.
Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto amesema hawatakubali kuona wanasiasa wanatumia majukwaa kueleza uongo na kupotosha umma kwa makusudi ili Serikali ichukiwe.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema tukio hilo la mauaji liligundulika machi 7 mwaka huu majira ya saa 9.30 aliasiri katika mtaa wa mbilani kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora na mkoa wa Tabora na Michael Hendry baada ya kuona siku kadhaa zimepita bila chumba hicho kufunguliwa hivyo wakalazimika kuvunja mlango wa chumba cha kulala na kukuta chini ya kitanda kuna zege ilikiwa bado bichi alijakauka vizuri.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
Hafla ya ufunguzi wa ofisi hizo imefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Namibia, wakiwemo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, mabalozi wa nchi za Afrika na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini humo.
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 11 akiwemo raia wa China, Meng Zhaon Ming (29) kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa saruji na mafuta aina ya Diesel katika mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga .
Tanzania held its first multi-party elections in 1995 and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party has won every election since