Rais Samia: Hatutakiwi kuwa na maofisa wa vitambi
Rais Samia ametoa agizo hilo leo Agosti 15, 2022 katika wilaya ya Mkinga mkoani Tanga wakati akizindua chuo cha mafunzo cha Jeshi la Uhamiaji cha Boma Kichakamiba ambacho kilianzishwa mwaka 2020.
Rais Samia ametoa agizo hilo leo Agosti 15, 2022 katika wilaya ya Mkinga mkoani Tanga wakati akizindua chuo cha mafunzo cha Jeshi la Uhamiaji cha Boma Kichakamiba ambacho kilianzishwa mwaka 2020.
Kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza mbele ya Hakimu, Clescensia Mushi imeitwa leo Jumatatu Agosti 15, 2022 kwa ajili ya kuendelea na usikilizaji wa mashahidi watatu wa upande wa jamhuri.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Ijumaa, Agosti 12, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslim, amesema mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo jana usiku.
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Budeba alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama hiyo baada ya kusikilizwa ushahidi ukiwamo wa mtoto, mama mzazi, majirani na daktari aliyempima mtoto huyo.
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imeiamuru Kampuni ya udalali ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya New Force, Waubani Linyama maarufu kwa jina la ‘Ndugu abiria’, fidia ya shilingi 150 milioni kwa kosa la kutumia picha yake kibiashara bila idhini yake.
Akizungumzaia ujenzi wa soko hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa soko hilo umegharimu 10.2 bilioni.
Upigaji kura huo umefanyika leo Agosti 9, 2022 katika Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania, ukihusisha vituo viwili vilivyoandikisha wapigakura 496 kila kimoja kwa Jiji la Dar es Salaam.
Amewataka Wakenya “kudumisha amani, umoja na mshikamano” na kuongeza “kila la kheri”.
Mapema wiki hii Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), ilitangaza bei mpya za ukomo wa mafuta, ikionesha Jiji la Dar es Salaam lita moja ya petroli ni shilingi 3,410 na shilingi 3,322 kwa dizeli, huku mafuta ya taa yakifika shilingi 3,765.