Tanzania
-

CHADEMA:Bila Katiba Mpya hakuna uchaguzi utakaofanyika 2024/2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeweka msimamo wake wa kutofanyika uchaguzi mkuu wa 2025 wala uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 iwapo hakutapatika Katiba mpya itakayoweka mifumo mizuri ya uchaguzi
-

Rushwa yavuruga uchaguzi wa CCM
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefuta matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu na kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho katika mikoa ya Mbeya…
-

Atwoli Amechaguliwa Makamu wa Rais wa ITUC kwa Awamu ya Nne
Uteuzi wa Atwoli uliidhinishwa kwa kauli moja na zaidi ya wajumbe 2000 na kufungua njia kwa muhula wake wa miaka mine katika ITUC, ambayo ina makao yake makuu mjini Brussels, Ubelgiji.
-

TCRA: Watumiaji wa fedha kwa njia ya mtandao wameongezeka
Taarifa ya utendaji kazi ya Mamlaka hiyo kwa mwaka 2022/23 inaonyesha kuwa akaunti za pesa kwa simu za mkononi zimeongezeka na kufikia watumiaji 39,590,502 mwezi Septemba mwaka huu kutoka watumiaji 35,201,960 walioripotiwa Mwezi Januari mwaka…
-

Chanzo cha kufeli kwa mawakili nchini Tanzania chawekwa wazi
Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria nchini.
-

Tanzania yapewa msaada wa bilioni 210 kutoka Ujerumani
Ujerumani imetangaza uamuzi huo mjini Berlin baada ya kukamilika kwa majadiliano kati ya ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Ujumbe wa Ujerumani ulioongozwa na Naibu…
-

Nape:TRA tumieni taaluma kukusanya kodi msitumie nguvu
Nape ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa walipa kodi bora mwaka 2021/2022.
-

Mtoto afariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah, alisema tukio hilo limetokea Novemba 10, majira ya saa 10 jioni wakati mtoto aliporudi shule na kukuta mlango wa nyumbani kwao umefungwa na kuamua kujikinga kwenye boma…
-

UNICEF:Ubaguzi wa rangi na ubaguzi dhidi ya watoto umeenea duniani kote.
Taarifa iliyotolewa leo na UNICEF kutoka New York Marekani imeeleza kuwa katika utafiti uliofanywa kwenye nchi 22 za kipato cha chini na cha kati umeonesha jinsi watoto wanavyobaguliwa katika afya, kupata rasilimali zinazotolewa na serikali,…
-

TCAA:Ndege kushindwa kutua kwa sababu ya hali mbaya ya hewa ni jambo la kawaida
Ndege hiyo ambayo ilikuwa inaenda mjini Bukoba kupitia Mwanza ikitokea Dar es Salaam, ililazimika kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza majira ya saa 6:56 mchana baada ya kushindwa kutua kwenye uwanja wa Bukoba







