Tanzania
-

Majambazi watatu waua mkoani Kagera.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, ACP William Mwampagale amewaambia waandishi wa habari tukio hilo lilifanyika wakati wa operashani maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi lililokuwa linapanga kufanya uhalifu.
-

Kesi ya Wanavijiji wa Loliondo dhidi ya Waziri wa Utalii na Maliasili, waleta maombi wapewa siku 14 kuleta maombi yao.
Uamuzi huo ulitolewa mawakili Jebra Kambole na Wakili Denis Moses Oleshangai kwa niaba ya waleta maombi na kwa upande wa Serikali alikuwepo wakili Zamaradi Johanes.
-

Siasa chafu, njaa na ukame vyatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu za ongezeko la wahamiaji haramu duniani
Tatizo la mabadiliko ya Tabia nchi inayosabaisha njaa, ukame na siasa chafu zimetajwa kama ni sababu kuu za ongezeko la wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta hifadhi ya kisiasa duniani.
-

Madereva watano wafungiwa leseni mkoani Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka katika Mkoa huo limeendelea kutoa Elimu kwa madereva na kuwafungia leseni za udereva madereva watano (05) kwa makosa mbalimbali.
-

Mashirika 76 na Watu 109 waandika barua ya wazi kwa rais Samia kuhusu ukiukwaji wa haki huko Loliondo
Barua ya Wazi kwa Rais wa Tanzania – Acha Ukiukwaji wa Haki za Binadamu dhidi ya Watetezi wa Ardhi wa Kimasai
-

Ruto akanusha kusaini mkataba wa mafuta na gesi na Tanzania
Alisema Kenya ina mpango wa kuzalisha MW 10,000 kutoka kwa rasilimali ya jotoardhi, na MW 20,000 kutoka kwa jua na upepo
-

Simba yamkataa Muharami
Uongozi wa klabu ya Simba nchini Tanzania imesema ndugu Mugarami Said Mohamed maarufu kama Shilton hakuwa muajirwa wa klabu hiyo
-

Kocha wa makipa wa Simba adaiwa kukutwa na dawa za kulevya
Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania(DCEA) imewakamata watuhumiwa 11 akiwemo kocha wa makipa wa timu ya Simba Club, Muharami Sultan (40) anayetuhumiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin na bangi.
-

Malipo ya fidia kwa waathirika wa ajali ya ndege kufanyika kwa siri
Mkurugenzi wa Shirika Precision Air, Patrick Mwanri amesema mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo tayari umeshaanza ambapo utakuwa kati ya familia za waliothirika na shirika hilo na utakuwa wa siri…
-

EAC kuzungumzia amani ya DRC, yapanga kuzungumza na Tshisekedi
Taarifa ya EAC kwa vyombo vya habari ilieleza kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dk Peter Mathuki anatarajiwa kuungana na mwezeshaji wa mchakato wa amani mashariki mwa DRC, Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta katika…







