Tanzania
-

Auawa kwa bomu akiwa kilabuni nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu alisema kuwa aliyeuawa kwenye tukio hilo ni Amos Petro (45) na watu wengine wawili walijeruhiwa.
-

Mvua ya upepo mkali yaezua nyumba 31 na kujeruhi watoto wawili nchini Tanzania
Akitoa taarifa mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mpanda, Afisa mtendaji wa Kata ya Itenka Yegela Samike amesema mvua hiyo ilinyesha Novemba 9, 2022 majira ya saa 12:45 jioni.
-

Rais Samia aridhia wanafunzi 28,000 kupata mikopo kwa mwaka 2022/2023
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa…
-

Muswada wa Bima kwa wote waahirishwa kujadiliwa bungeni
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema kuna mambo ambayo hawajaafikiana na Serikali hivyo umeondolewa katika ratiba ya shughuli za leo ambapo Bunge linaahirishwa.
-

EWURA: Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ndogo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania(Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali.
-

ATCL kufuta baadhi ya safari za ndege zake
Taarifa iliyotolewa leo na shirika hilo ni inaeleza kuwa mabadiliko hayo yametokana na changamoto za kiufundi duniani kote za injini aina ya PW1524G-3 zinazotumika kwenye ndege aina ya Airbus A220-300
-

Dkt Mpango:Lindeni vyanzo vya maji, kunusuru upoteaji wa maji
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewataka wakuu wa mikoa nchini humo, viongozi wa wilaya na bodi za mabonde ya maji kufanya jitihada za ziada katika udhibiti wa uharibifu wa mazingira unaotokana na…
-

TCAA:Uwanja wa Bukoba ni salama kwa matumizi
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Tanzania(TCAA) imewatoa hofu watumiaji wa usafiri wa Anga nchini humo kuhusu usalama katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba uliopo katika Manispaa ya Mji Bukoba Mkoani Kagera baada ya kutokea…
-

Watu wanne kati ya 10 hufariki kutokana na magonjwa yasioambukiza nchini Tanzania
Hayo yamesemwa leo Novemba 9,2022 na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kasper Mmuya katika maadhimisho ya kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza (NCD) katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
-

Namba za simu za utapeli 52,087 zafungiwa nchini Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania(TCRA) imetangaza kuzifungia jumla ya namba tambulishi 52,087, zikiwemo zile zinazohusishwa na wizi, utapeli na ulaghai kupitia mitandao wa simu.







