Tanzania

  • Rais Samia:Siridhishwi na kasi ya uendeshaji wa miradi ya UWT

    Rais Samia:Siridhishwi na kasi ya uendeshaji wa miradi ya UWT

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kutoridhishwa na kasi ya kujiunga kwa wanachama wa Jumuiya ya wanawake wa chama hicho (UWT) na uendeshaji wa miradi yake ya kiuchumi.

  • Makalla:Hakuna mgao wa ya Maji Dar

    Makalla:Hakuna mgao wa ya Maji Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla ametangaza kuanzia sasa hakuna mgao wa maji ndani ya mkoa huo na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kuelekeza nguvu kuimarisha…

  • Ripoti ya ajali ya ndege iliyokanwa na Serikali ya Tanzania yafanania na ripoti rasmi iliyotolewa.

    Ripoti ya ajali ya ndege iliyokanwa na Serikali ya Tanzania yafanania na ripoti rasmi iliyotolewa.

    Jana  Alhamsi Novemba 24, 2020 akisoma taarifa rasmi ya ripoti ya uchunguzi huo wa awali, Profesa Mbarawa amesema hali ya hewa ya Bukoba ilikuwa nzuri hadi Saa 2 na dakika 20 asubuhi, taarifa ambayo hivyohivyo…

  • Kenyan ex-Olympic official’s graft conviction overturned

    Kenyan ex-Olympic official’s graft conviction overturned

    Former Kenyan Olympic Committee official Stephen arap Soi was released from prison on Thursday after a Nairobi court overturned his conviction for embezzlement at the Rio Olympics

  • TRC yatoa ufafanuzi mabehewa mapya ya reli ya kisasa

    TRC yatoa ufafanuzi mabehewa mapya ya reli ya kisasa

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mabehewa yote yaliyoainishwa kuletwa kwa ajili ya treni ya Reli ya Kisasa (SGR) yatakuja na kwamba yaliyoanza kuingia nchini ni ya safari ndefu.

  • WHO /CDC:Takriban watoto milioni 40 wako katika hatari ya kushambuliwa na surua 

    WHO /CDC:Takriban watoto milioni 40 wako katika hatari ya kushambuliwa na surua 

    Ripoti mpya iliyotolewa leo mjini Geneva Uswis na Atlanta Marekani na shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO na kituo cha Marekani cha kudhibiti magonjwa CDC inaonyesha kuwa ugonjwa wa surua ni tishio…

  • Tanzania yaikana ripoti ya awali ya ajali ya ndege Bukoba

    Tanzania yaikana ripoti ya awali ya ajali ya ndege Bukoba

    Taarifa ya kanusho juu ya ripoti hiyo ambayo imesambaa mitandaoni toka siku Jumanne November 22 na kuripotiwa na vyombo mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania imekuja jana Novemba 23, wakati tayari imeshaibua mjadala mzito…

  • Ripoti:Kuna uzembe ulifanyika ajali ya ndege Bukoba

    Ripoti:Kuna uzembe ulifanyika ajali ya ndege Bukoba

    Ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air, ikibainisha udhaifu katika uokozi kwa kile alichofafanua Jeshi la Polisi Kitengo cha Wanamaji kilipewa taarifa dakika 15 baada ya tukio lakini…

  • Bashe:Tanzania haina njaa

    Bashe:Tanzania haina njaa

    Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe, amekanusha uwepo wa baa la njaa nchini humo lakini amekiri kupanda kwa bei za mazao.

  • Watuhumiwa wa mauaji ya askari Ngorongoro waachiwa huru

    Watuhumiwa wa mauaji ya askari Ngorongoro waachiwa huru

    Kesi hiyo ambayo leo Jumanne, Novemba 22, 2022 ilipangwa kwa ajili ya kutajwa ambapo kati ya washitakiwa hao 24, kumi ni madiwani pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ngorongoro, Nderango…