Tanzania
-

Tanzania kuanza kutumia mita ya nauli kwa teksi
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (Latra) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwa teksi ambazo zingewawezesha wateja kulipa nauli kulingana na kilomita walizosafiri
-

Balozi wa Tanzania nchini Austria afariki dunia.
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa Tanga.
-

Benki Kuu ya Tanzania yaiweka chini ya uangalizi benki ya Yetu Microfinance
Taarifa iliyotolewa Desemba 12, 2022 na Gavana wa BoT, Profesa Florens imesema usimamizi huo umeanza mara moja na utadumu kwa siku zisizozidi 90 kabla ya kutoa majumuisho.
-

Wamachinga wa soko la Kariakoo kutozwa kodi na TRA
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi wa TRA, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye mfumo wa malipo ya kodi wa makadirio.
-

Forbes yamtaja Samia miongoni mwa wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2022
Orodha hiyo inajumuisha viongozi wakuu duniani wanaofanya kazi katika sekta mbalimbali, kuanzia siasa, uchumi, teknolojia, uhisani na afya
-

ATCL yaomba radhi wateja wake kutokana na usumbufu unaojitokeza kwa wasafiri
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo kupitia ukurasa wao wa mtandao wa Twitter shirika hilo limesema juhudi zinaendelea kufanyika ili kurudisha huduma kama ilivyokuwa hapo awali huku likijulisha kuwa ndege moja ya Airbus ipo katika hatua…
-

Kilo 15.19 za heroin zakamatwa zikitaka kusafirishwa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imekamata kilo 16.643 za dawa za kulevya zikiwamo kilo 15.19 za heroin
-

Mahakama: Uamuazi wa kumuondoa CAG Assad ulikiuka Katiba
Mahakama Kuu nchini Tanzania kanda ya Dar es salaam imesema uamuzi wa kumwondoa katika utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini humo, Profesa Mussa Assad ulikiuka Katiba.








