Tanzania
-

Uber yarudisha huduma ya usafiri Tanzania
Uber Limited ilisitisha huduma zake nchini Tanzania ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu nchini humo (LATRA)
-

NBS yatabiri kupungua kwa mfumuko wa bei Tanzania
Kwa mujibu wa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, bei hizo zitapungua kutokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kudhibiti mfumuko wake, ikiwemo kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza bajeti ya…
-

Waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine na watu 15 wafariki katika ajali ya Helikopta
Watoto watatu pia walikuwa miongoni mwa waliofariki na wengine 15 wanaendelea kupokea matibabu hospitalini.
-

Tanzania kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti
Hivi karibuni vyombo vya habari nchini Tanzania viliripoti taarifa juu ya shule kutoa mafundisho ya ulawiti kwa wanafunzi katika shule hizo
-

Mahakama yapanga kusikiliza rufaa ya Sabaya siku tano mfululizo
Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023.
-

Ongezeko la nauli za mabasi ya mwendokasi Dar kuanza kutumika leo
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi, viwango vya bei zilizotolewa kwa watu wazima vinaonesha kwa njia kuu kutoka Kimara kwenda kivukoni, Morocco na Gerezani ni Sh 750 na wanafunzi…
-

Lissu kukanyaga tena ardhi ya Tanzania Januari 25,2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema anatarajia kurejea nchini Tanzania Januari 25, 2023 akitokea Ubelgiji alikorejea Novemba 10, 2020, baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu.
-

Rais Samia:Zama za ugomvi katika siasa ziishe twendeni na hoja za maana.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Januari 10, 2022 huko Unguja, visiwani Zanzibar wakati wa kilele cha matembezi ya vijana kuadhimisha miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar zilizoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM…
-

Jaji Mkuu wa Tanzania ahimiza usuluhishi katika kutatua migogoro.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewahimiza wananchi kutumia njia ya usuluhishi katika kutatua migogoro ya kisheria kwa lengo la kukuza uchumi endelevu badala ya kukimbilia mahakamani.
-

Kesi ya Maofisa wa polisi wanaodaiwa kumuua mfanyabiashara wa madini kusikilizwa kesho.
Mara ya kwanza maofisa hao walifikishwa mahakamani Januari 25, mwaka 2022 kwa tuhuma za kufanya mauaji ya hayo ambayo yalizua hisia mseto na kuleta taswira mbaya kwa jeshi la polisi nchini Tanzania







